Sunday, 27 December 2009

Kampeni ya chelsea yaanza kwa moto

chelsea wametangaza kuanza kwa kampeni iitwayo "michezo kwa wote,walieleza" ya kuwa kampeni hii itakayokuwa ikizifanya timu ndogo na mpya katika premia ligi kujisikia nyumabni kwa kutowa nao draw,west ham na birmingam,msemaji mkuu wa chelsea alisema timu kubwa zikija tutadhiadhibu vilivyo

No comments:

Post a Comment